Sunday 2 August 2009

WHITE HOUSE YA TANZANIA

Hili ndilo jengo la Ikulu ya Rais ambapo baada ya wakoloni kuondoka wamepitia hapo Hayati Baba wa Taifa Mwl.JK Nyerere,Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mhe.Benjamin Mkapa,na sasa Rais Jakaya Kikwete.Mandhari yake ni nzuri na yakuvutia

No comments:

Post a Comment

Maoni yako