Sunday 2 August 2009
UWAJIBIKAJI
Ni kweli maisha bado magumu lakini kwa kijitahidi hivyo hivyo tunaweza kujikwamua.Huyu anajitahidi kutumia nyenzo alizonazo kufikia kile anachonuia japo kwa tabu sana.Uvumilivu katika uwajibikaji ni muhimu kuleta mafanikio ya nia njema.Pole na Hongera kaka wa nyumbani kwa kazi unayofanya.Bila shaka siku moja utanikaribisha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Jamani mpaka huruma kwali maisha haya watu tumetoka mbali. Sasa hapo hiyo baiskeli itapona kweli?
ReplyDelete