Thursday 30 May 2013

Monday 27 May 2013

UCHACHARIKAJI UMEANZA: JE WEWE UMEJIPANGAJE???

 Watoto hawa nao wanatimiza wajibu wa 'asiyefanya kazi na asile' au ndio adhabu, au ndo kama asemavyo huyo 'Riziki popote'???? Tunajifunza nini kwa watoto hawa?
 Tunapoanza kazi wiki hii tujitahidi kuwa makini kazini kuepuka kishawishi kama apatacho mlinzi huyu ambacho kinahatarisha maisha yake na nafasi yake kazini
 Hakika madreva wa bodaboda nanyi mna mtihani, lakini yote kazi. Piga kazi usijali umbo la mtu
Jamani, mwatuweka kwenye mstari masaa kumbe shosti upo busy na ' laaazizi kwenye FB' jitathmini

NAWAOMBEA NYOTE WIKI NJEMA


Saturday 25 May 2013

Thursday 23 May 2013

KUTAFUNA KWINGINE BWANA

Je wewe watafunaje??

KAZI NA DAWA KWA VITENDO

HII SASA BALAA, AFU MTU HAPO ANATEGEMEA KUPATA dARAJA LA KWANZA. KAZI IPO

CHEZEA FUNDI WEWE


Monday 13 May 2013

Saturday 4 May 2013

Friday 3 May 2013

Thursday 2 May 2013

Wednesday 1 May 2013

UKWELI WA MAMBO

Na kinyume chake ni kweli pia

NAWATAKIA MEI MOSI NJEMA.

Tunaposherehekea sikukuu ya Wafanyakazi duniani, nawapa pole kwa kazi nyingi na kuwatakia kila la kheri katika ujenzi ya Taifa na mtu binafsi. HAPPY MAY DAY ila "ASIYEFANYA KAZI NA ASILE"