Sunday 9 August 2009

NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA

Ndio maana tunasema "Mwacheni Mungu aitwe Mungu" maana maajabu yake hayapimiki.

Jiwe la "Bismark" Mwanza

1 comment:

  1. Na abishaye asiitwe mtu. Maana vitu vingine havina majibu ya kibinadamu.
    Asante kwa hizi taswira Man

    ReplyDelete

Maoni yako