Wednesday 22 September 2010

Tuesday 21 September 2010

MAMBO HAYO

Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais , wabunge na madiwani yasemekana maisha yamepinga na kunyong'onyea kama kiatu hiki. Ya kweli hayooooo Ila kwa upande mwingine wa shilingi, watu wanazidi kujazia (tazama picha)

Monday 13 September 2010

BLUE MONDAY


Ni wiki imeanza baada ya pilikapilika za Eid el Fitr na mapumziko marefu ya mwisho wa juma la sikukuu. Tayari katika sehemu mbalimbali za Jiji la Dar watu ni busy. Dada huyu anaonekana akitafuta maji kwa matumizi ya nyumbani. Lakini angalia anavyosota. TANZANIA KWA HALI HII TUTAFIKA KWELI.

Sunday 12 September 2010

MISS VODACOM TANZANIA 2010


Geneviev Emmanuel ndiye mshindi wa mwaka 2010 wa Miss Vodacom Tanzania.Ni kutoka Kitongoji cha Temeke. Fainali za mashindano hayo zilifanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City-Mwenge DSM. Mshindi wa Pili alikuwa Glory Mwanga toka Arusha na wa Tatu ni Consolata Lukosi kutoka Ilala

NAWATAKEINI NYOTE J'PILI NJEMA KWA TASWIRA HII

Wednesday 8 September 2010

JAMANI, POLE MAIMATHA


P Diddy (Perfect Kasiga) afariki dunia ghafla maeneo ya Lumumba Mnazi Mmoja baada ya kuanguka ghafla akiwa katika matemezi ya kawaida. Ni mchumba wa mtangazaji maarufu Maimatha wa Jesse

ENZI ZILE

MAMBO YA VODACOM MISS TANZANIA 2010WAREMBO WAKIWA WAMEWABEBA WATOTO KATIKA HOSPITALI YA KISARAWE WALIKOENDA KUTOA MSAADA WA VYANDARUA