Huyu ndiye Miss Redds Ilala 2009 Sylvia Frank Shally Hawa ndio vinara watatu bora wa Redd Miss Ilala 2009 wakiwa wamepozi mara baada ya kunyakua nafasi hizo,usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya karimjee hall,jijni Dar
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
Ningefurahi kama kungekuwa na mrs labda na wengine tungepata nafasi kuwa.
ReplyDelete