Monday 31 August 2009

MASANJA WA ORIJINO KOMEDI KWENYE BLOG

Masanja nae kaibuka kwenye blog na amekuja na kitu kinaenda kwa jina la
www.mkandamizaji.blogspot.com
Karibuni wadau kwenye kiwanja kipya hicho.

5 comments:

 1. What'up

  na wa miss sana sijuwi nifanyeje ili niwe nawe live ila zidisha bidi ili siku moja nikuone kwe runinga apa USA[Portland]na nitaendelea kupiga kura ilisikumoja garila orijino comedi lije apa Oregon[USA]kazi njema

  is sadoki from Portland OR

  ReplyDelete
 2. mimi jinalangu aisha naishi man[uk]tulikua tukipata tbc1 lakini sasa hatuipati could u tengeneza mitambo yenu plz muonge signal

  ReplyDelete
 3. Asante sana
  Mimi ni MUHINDO MUSAVHULI POSSIBLE
  Account at MCD BUTEMBO BRANCH
  D.R Congo
  BUTEMBO TOWN
  E-mail: possible_cd@yahoo.fr
  Tel: +243 993 776 631

  Plz nawapenda sana sana mimi na familia yangu huwa tukiwa tukifurahia namna yenu yaku shauri na kuonya kupitia huu Mchezo wa Orijino komedi
  sasa ninyi ni INTERNATIONAL
  Swali langu ni hili
  Jee? Mnauza tape zenu hata Kenya? Kwani nazihitaji saana.
  Ok Thanks
  Best Regards
  Possible/ Aimable/Lydie

  ReplyDelete
 4. nampa big up sana masanja namkubari ISMAIL SEKWEPANDE za NDALA Tabora

  ReplyDelete

Maoni yako