Sunday 30 August 2015

UKAWA FUNGA KAZI

VIONGOZI WAKUU WAONYESHA KUMSUPPORT DKT.MAGUFULI

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA

MAMA ONGEA NA MWANAO...............

Wasanii wa Filamu nchini Wema Sepetu na Steven Nyerere wakimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Kikwete katika Hoteli ya Hyatt Kempinski jijini Dar es Salaam kuzindua kampeni ya 'Mama Ongea na Mwanao' ili aipigie kura CCM. Kampeni hiyo imeratibiwa na wasanii wa filamu wakiongozwa Wema Sepetu na Steven Nyerere.
Picha nyingine za tukio hilo

Friday 28 August 2015

WANA-CHADEMA WATOKELEZEA

Busu la Rais Mtarajiwa, kicheko cha First Lady Mtarajiwa. Utawatakaaaa.....

CCM YAONYESHA DALILI ZA KUKUBALIKA

Huu ndio upendo wa Dhati kwa chama chao na mtu wao

MONDULI NAO WAIKUBALI CCM

Ama kweli HAPA KAZI TU
Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Monduli Jimbo la Mhe.Edward Lowassa
Hata wana CHADEMA walikuwepo

Wednesday 26 August 2015

DKT MAGUFULI APIGA KAMPENI LEO MJINI TUNDUMA


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma waliofurika kwa wingi katika uwanja wa shule ya msingi Tunduma,mkoa wa Mbeya mapema leo mchana,kwenye mkutano wa kampeni wa kuwaomba Watanzania ridhaa ya kuwaongoza katika kipindi cha awamu ya tano,ambapo uchaguzi unatarajiwa kufanyia Oktoba 25 mwaka huu.
Umati mkubwa ulifika kumsikiliza

TAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPT HUKO BAGAMOYO

VIDEO: DKT MAGUFULI ALIVYOITEKA SUMBAWANGA


Wananchi wakinyanyua mikono kuonyesha ishara ya kumkubali Mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM mhe/Dkt.Magufuli

KIJEMBE....

Nileteeni picha ya... akiwa ameshika MIC tatu huku akiongea, HAPA KAZI TUUUUUU.

Tuesday 25 August 2015

MKOMBOZI COMMERCIAL BANK YAFUNGUA TAWI MOSHI MKOANI KILIMANJARO

CCM YAANZA MBIO ZA KAMPENI MIKOANI KATAVI NA KILIMANJARO

mhe John Magufuli yupo Mkoani Katavi
Wananchi wa Mishamo wakimsikiliza Dk.John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM mkoani Katavi.

Mhe Samia Suluhu yupo Mkoani Kilimanjaro
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika Uwanja wa Shule ya Msingi Hedaru, wilayani Same mkoani Kilimanjaro

Monday 24 August 2015

MHE. LOWASSA NDANI YA DALADALA GONGO LA MBOTO HADI PUGU KAJIUNGENI

UZINDUZI WA KAMPENI CCM WAWEKA HISTORIA

Umati wa WanaCCM na wananchi wengine waliohudhuria uzinduzi huo hapo jana maeneo ya Jangwani Jijini Dar

CCM ILIVYOFUNIKA JANA JANGWANI DAR

Msikilize Mhe.Magufuli akiongea na watanzania Jangwani Dar

Picha nyingine za tukio hilo

Sunday 23 August 2015

KAULI TATA ZA MHE.WAZIRI MSTAAFU FREDRICK SUMAYE

Asemavyo Mhe.Fredrick Sumaye alipoondoka CCM (VIDEO)

Japo amehama CCM alakini alitamka wazi kuwa CCM ikimchagua mla rushwa atahama CCM akimlenga mhe. Edward Lowassa

TASWIRA KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI CCM JANGWANI DAR LEO

Mhe Magufuli na Mhe Samia wagombea Urais CCM wakiingia Jangwani leo
Picha nyingine taswira ya siku