Friday 21 August 2009

WATOTO KATIKA NCHI YA SHIBE

Pamoja na ukweli kuwa nchi yetu imebarikiwa katika mambo mengi, bado hali ya maisha ni ngumu kwa wengi.Chakula ni cha kubangaiza na hata wakati mwingine baadhi ya jamii zinalazimika kuokota chakula toka majalalani. Hali hii inapaswa kufikia tamati. Hata hivyo, hili ni jukumu la Taifa zima si viongozi peke yao.

1 comment:

  1. Huwa inaumiza sana kuona kuna watu wanatupa chakula wakati kuna wengine wanalala njaa na kushinda njaa. Ni kweli inabiti iwe tamati na ni sasa.

    ReplyDelete

Maoni yako