Tuesday 18 August 2009

JAMANI TUMEZIDI SANA KUONGOZWA NA VIONJO

Ni wangapi inapokuwa ni kuchangia maendeleo ya nchi yetu na watu tunajitokeza kwa bidii kama wafanyavyo Vodacom??

Lakini, angalia inapokuwa ni Tamasha fulani teh teh teh tunajitokeza kwa wingi hata pa kugeuka hakuna loh.Japo vyote muhimu lakini, Kipi tunapaswa kukipa kipaumbele jamani?

No comments:

Post a Comment

Maoni yako