
Bado inatembea kwenye njia za panya. Mwenye nalo hana hata haja ya kuisajili namba mpya, haifiki mjini kwenye trafiki! Maandishi yanasema..."BAYA BABAKO ANALO?" Hapa jamaa anaringishia urithi alopata toka kwa baba yake.
Picha kwa hisani ya MJENGWA
"Home Sweet Home"
Kumbe kuna asiyependa kurith. Kazi kwelikweli umeniacha hoi yaani nimecheka kweli
ReplyDelete