Sunday 30 August 2009

WADAU NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA

"Bila msaada wa Bwana ,kazi zenu ni bure....." Tujitahidi kumweka Mungu mbele katika yote nae atatujalia yale tuyahitajio. Ni siku nyingine ya kumsifu yeye kwa namna ya pekee, tuitumie vema. Pia ni wakati wa mapumziko kwa wengine, basi mapumziko mema.

Punda afe,mzigo ufike!!

2 comments:

  1. Wow! kazi kwelikweli:-) Dominika njema na wewe pia.

    ReplyDelete
  2. Mkuu, hii picha ya punda gari imeniacha mdomo wazi. Na zile post za barabara iliyopo ukingoni mwa mlima, duh!!

    ReplyDelete

Maoni yako