Wednesday 30 September 2015

WAGOMBEA UONGOZI 2015, TUAMBIENI MTAAKAVYOONDOA KERO HIZI

HABARI NJEMA KWA WASAFIRI WA FASTJET KWENDA JOHANNESBURG

Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kulia), akizungumza katika semina ya siku moja ya waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, iliyohusu kuongezeka kwa safari za ndege za shirika hilo kila siku kwenda Johannesburg nchini Afrika Kusini

Sunday 27 September 2015

TUSISAHAU.......

MHE LOWASSA APIGA KAMPENI JIMBO LA MHE MBOWE,HAI-KILIMANJARO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipokelewa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, wakati alipowasili eneo la Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mpira wa Machame, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro Septemba 26

JACKLINE WOLPER AWATUPIA DONGO KINA WEMA SEPETU

VIDEO: HEBU SIKILIZA VIZURI ,MANENO YA WIMBO HUU WA MCHAKA MCHAKA

Amiri Jeshi Mkuu mtarajiwa unapokubali kuhamasisha watu kwa wimbo huu, sisi wananchi tusio na vyama tunaokusikiliza tuamini lipi kwa baadae?

Thursday 24 September 2015

KHERI YA SIKUKUU

Waamini wakiwa katika Swala ya Eid,viwanja vya Mwembe Yanga Temeke dar

KITUNZE KIDUMU

Alitumia Babu, sasa mpaka Wajukuu wanakitumia

CCM YAPATA PIGO LINDI. UKAWA YAITEKA

Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili, Mkoani Lindi leo Septemba 23, 2015.
(Picha kwa hisani ya Othman Michuzi)
JIMBO LA MTAMA anakowania Mhe.Nape Nnauye (CCM) mamia ya wanachama CCM wamesalimisha kadi zao UKAWA

Wednesday 23 September 2015

HAPA KAZI TU

Alipokuwa Geita hii Leo, ili kumsikiliza na kumwona vizuri Dkt. Magufuli ilibidi wapande kwenye miti na paa za nyumba. Kweli kazi ipo.

MPYA YA AUNT EZEKIEL KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Tuesday 22 September 2015

MAGUFULI: "NIPO FIT"

mhe.Dkt Magufuli akipiga push ups akiwa jukwaani kuonyesha kuwa yupo fit kwa kazi ya Urais anayoiomba. Hili limettokea huko Ngara Mkoani Kagera akiwa katika siku yake ya mwisho ya kampeni Mkoani humo

LOWASSA AZIDI KUTAMBA DAR

Lowassa jana aliendelea na kampeni zake katika majimbo matatu ya Mkoa wa Dar es Salaam ambayo ni Ukonga, Kigamboni na Mbagala.

Monday 21 September 2015

CCM WAZIDI KUNG'ARA: DKT.MAGUFULI-BUKOBA,MAMA SAMIA - TANGA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Gymkana mjini Bukoba leo akiomba kura za ndiyo kwa wananchi wa mkoa huo kumpigia kura za ndiyo kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaifikapo Oktoba 25 mwaka huu ili aweze kuwatumikia watanzania
Diamond Platnumz na kundi lake wakitumbuiza mkutano wa kampeni ccm Bukoba
MAMA SAMIA AKIWA TANGA

Sunday 20 September 2015

VIDEO: FIRST LADY MTARAJIWA KATIKA UBORA WAKE

Mama Janeth Magufuli akisalimia na mgombea Ubunge CCM Jimbo la Chato Dkt Meedad Kalemani mara baada ya kuwasalimia wananchi wa Chato na kuwaomba ridhaa wamchague mhe.John Magufuli kuwa rais wa awamu ya Tano Tanzania

Mama Janeth Magufuli akiwasalimu wananchi wa Chato

MABASI 138 YA MRADI WA DART(MABASI YA MWENDO KASI) YAWASILI BANDARI YA DAR ES SALAAM

Sehemu ya mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yaliyowasili katika Bandari ya Dar es Salaam, kwa ajili ya kuanza kutoa huduma ya usafiri katika kipindi cha mpito kwenye miundombino ya mfumo wa mabasi yaendayo haraka (BRT)kuanzaia mwezi ujao

DKT MAFUGULI KATIKA UBORA WAKE NYUMBANI CHATO

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Chato ambapo maelfu ya watu walijitokeza kwa wingi kwenye mkutano
Leo na Mama Magufuli (First Lady Mtarajiwa) alikuwepo, wa pili kutoka kushoto
Mama Magufuli alipokuwa akiwasalimiwa wananchi wa Chato
Umati ulojitokeza katika kampeni