Monday 31 August 2009

MWISHO WA MWEZI

Mwisho wa mwezi umewadia, tunapoganga yaliyopita,pengine picha hii inaweza kukukumbusha mengi. Zingatia kusamehe waliochukizwa na mafanikio yako, na jitahidi kuimarisha mafanikio uliyopata mwezi mzima,na yawe kichocheo cha mwezi ujao. Jitahidi kupunguza wakuchukiao kwa kuwa "mtu wa watu", na pengine kwa kuweka mipaka.
Nawatakieni nyote Mwisho mwema wa mwezi na mwanzo mwema wa wiki.

1 comment:

  1. Asante kwa hilo ni wazo zuri!Nawe uwe na wakati mzuri kwa mwezi huu mpya uanzao kesho J4.

    ReplyDelete

Maoni yako