Wednesday 5 August 2009

NANE NANE KITAIFA ITAKUWA DODOMA

Maadhimisho ya sherehe ya Nane Nane yatafanyika kitaifa Mkoni Dodoma. Tayari maonyesho kabla ya kilele hicho yameshazinduliwa na Mheshimiwa Rais Kikwete. Wakala wa Kampuni ya simu za mkononi TIGO ndio wadhamini wa maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako