Tuesday 4 August 2009

WAPO BUSY NA "MOTIBEL" ZAO

Ulimwengu wa utandawazi umeleta mabadiliko makubwa katika jamii. Jamii hii ya Wamasai nao hawako nyuma kutumia faida ya utandawazi kwa kufanya mawasiliano na wajuani wao kwa njia ya simu za kiganjani. Hapa sijui wanachat na kina mama Yeyoo au vipi? hahahahhahaa

No comments:

Post a Comment

Maoni yako