Wednesday 5 August 2009

LANGO LA BUNGE

Haya ndio maingilio (Lango Kuu) ya Bungeni Dodoma.
Ni jengo zuri,maarufu na la kisasa kabisa.Tunaamini pia Wabunge wetu kwa kutambua hadhi na heshima ya Jengo hili wanafanya yatakiwayo wawapo ndani ya jengo hilo kwa kuwawajibikia waliowapa kura

Sehemu ya ndani ya Jengo la Bunge

Picha mbili hapa chini ni Jengo la Bunge la Uingereza

1 comment:

  1. mzee jengo letu ni nzuri sana ila naona huruma huo moto wa mbinguni kama upo viongozi wetu watachomwa sana kani wanapoomba kwa mungu awape busara na hekima ili wawe na maamuzi mazuri sio kweli kwani wanachoongea sio kinachofanyika kwa wananchi. baba t, kia moshi

    ReplyDelete

Maoni yako