Wednesday 26 August 2009

UBUNIFU

2 comments:

  1. Umenikumbusha mbali nilipokuwa msichana mdogo tulikuwa tunafinyanga wadoli wa udongo na wavulana magari ya udongo. Natamani tena kuwa mdogo,,,,,LOL

    ReplyDelete
  2. HUYU ATAAMBIWA ANACHEZEA UDONGO japo ukiwapa wanaoonekana wana akili udongo huo na vyombo alivyotumia huyu hawataweza kufanya lolote.
    Inasikitisha tunavyojidharau. Yaani sisi hatujioni mashujaa licha ya kuwa tunaweza kuwa tunaishi maisha ya wale ambao tunawaona mashujaa zaidi.
    Wenzetu hawaishi maporini kama wamasai na makabila mengine. Labda wenye kutafuta mambo maalumu (ina maana hao wataitwa wataalamu na sisi tutakubali) ama wanajeshi wanaotaka cheo ama hadhi ya ukakamavu kama makomandoo.
    Ukiwaweka na wamasai wetu, wote (practically) ni survivors lakini wetu watadharauliwa.
    Sijui tumelogwa na nini sisi?
    Blessings

    ReplyDelete

Maoni yako