Sunday 2 August 2009

JUMAPILI / WEEKEND NJEMA WADAU

Ila usiende hivi kanisani maana Paroko/Mchungaji anaweza kukutoa 'baru'

4 comments:

  1. Jumapili njema kwako pia Kaka Nick.
    Blessings

    ReplyDelete
  2. Huyu mzawa naona kapiga pamba kwelikweli!

    Ni kanisa gani ambalo wanafukuza watu ambao hawajavaa vizuri? Kwani wakati mwingine mtu unaweza usielewe kama uko kanisani kutokana na mavazi yanayovaliwa.

    Jumapili njema Bwana Nick. Ndiyo mara yangu ya kwanza kuiona blogu yako. Nimeipenda!

    ReplyDelete
  3. Asanteni wadau kwa mawazo mazuri na pongezi.Karibuni sana.Tupo pamoja

    ReplyDelete
  4. Kaazii kwelikweli J´pili njema kwako pia.

    ReplyDelete

Maoni yako