Saturday 8 August 2009
TZ MISS UTALII VYUO VIKUU NAYO IMEWADIA
Washiriki wa shindano la Miss Utalii Vyuo Vikuu Kanda ya Mashariki, Angel Constatine, Faraji Msosa, Beatrice Shayo, Grace Lucas, Mary Guma, Rosemary Zahoro, Ummy Mdolwa na Zakia Ramadhani, wakiwa katika picha ya pamoja leo jioni, warembo hao watachuana kesho usiku agost 8/09 katika ukumbi wa Rainmbow 8/8/09.
"MISS TOTO"
Hawa nao wanajiandaa kumtafuta mrembo wao, vipaji huvumbuliwa mapema na hili ni bora lizingatiwe.Katika Picha ni Jenifer,Fatuma Omari,Mariam Karama,Neema Idd,Ashura Omari,Hapineess Peter,Edna Daniel
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
wameanza mapema...lol
ReplyDelete