Friday 7 August 2009

WEEKEND IMEWADIA, ILA USISAHAU TUKIO HADIMU LA LEO



Kwa mfumo wa kusoma tarehe/majira nyumbani Tz tunaanza na tarehe kisha mwezi,basi leo mchana kumbuka tukio adimu katika uhai wa wengi.Kama inavyoonekana pichani,kuna muda saa na kalenda itasomeka 1-2-3-4-5-6-7-8-9,yaani saa 12 na dk 34 na sekunde 56 tarehe 7 mwezi wa nane mwaka 2009 (12:34:56 7/8/9).

No comments:

Post a Comment

Maoni yako