Monday 10 May 2010

BLUE MONDAY


Wiki imeanza, tuanze tena pilikapilika za kuboresha maisha. Nawatakieni nyote Jmatatu njema na wiki yenye mafanikio

Sunday 9 May 2010

JUMAPILI NJEMA

Jumapili ni siku ya mapumziko na kupanga mikakati mipya kwa ajili ya wiki inayoanza. Kwa walio jijini kama Dar-es-Salaam wanaanza tena kufikiria mikiki mikiki ya foleni asubuhi na mvua zenye adha. Lakini yote tumshukuru mungu maana ametupa uhali na tusonge mbele kwa jitihada "to make life better"

Wednesday 5 May 2010

HODI TENA WADAU

Wapendwa sana wadau wa Blog hii, nawasalimu na kuwashukuruni kwa uvumilivu wenu kwa kipindi chote ambacho nilishindwa kuwa hewani. Ni mambo mengi ila namshukuru Mungu yameisha salama na sasa naweza tena kuwa hewani kama ilivyokuwa hapo awali. Karibuni sana
.