Tunapokuwa katika harakati za kuboresha maisha na kuinua kipato, tukijaaliwa na mola tukumbuke katika matumizi yetu na matendo yetu ya kila siku kuwa kuna watoto wengine wanatafuta elimu kwa kusomea chemli, kuna wanaoenda shuleni nguo zimechania na hawana njia mbadala ya kujikwamua.
WANAOTUNGA MITIHANI YA NBAA WAFIKIWA
13 minutes ago