Friday, 15 January 2016

TASWIRA YA DARAJA LA KISASA LA KIGAMBONI DAR

Daraja hili lililoanza kujengwa mwaka 2012 kwa Ushirikiano wa Mfuko wa NSSF na Kampuni za China,linatarajiwa kukamilika ujenzi wake mwaka huu. Lina urefu wa mlalo wa kadirio la kilomita 2 likiunganisha Kurasini na Kigamboni

No comments:

Post a Comment

Maoni yako