Tuesday 30 May 2017

ALIYEBUNI NA KUCHORA NEMBO ZA TAIFA AFARIKI DUNIA


Mzee Francis Maige Kanyasu maarufu kama "Ngosha" aliyedai kuwa yeye ndiye mchoraji wa nembo ya Taifa amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, leo akiwa na umri wa miaka 86.!

Monday 29 May 2017

UTEUZI WA IGP

Aliyekuwa Kamishna wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro.
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Mei, 2017 amemteua Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Mkuu wa polisi (IGP).

Saturday 27 May 2017

NAWATAKIA NDUGU ZETU WAISLAM MFUNGU MWEMA WA MWZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla na kuwatakia kheri katika mwezi huo,pia amewataka kujitahidi kufanya ibada kwa wingi,ikiwemo kusima Quran,kuswali sana hasa swala za Suna na kutoa zaka.

Thursday 25 May 2017

TANZIA......MUME WA ZAMANI WA ZARI THE BOSS AFARIKI DUNIA

Marehemu Ivan Don Marehemu Mume wa zamani wa Zari, Mke wa sasa wa Diamond Platnumz.

Leo May 25, 2017 zimeripotiwa taarifa za kifo cha Ivan Semwanga “Ivan Don” mfanyabiashara maarufu kutoka nchini uganda na aliyekuwa mume wa mrembo Zari the Boss Lady, ambaye amefariki baada ya kuugua ghafla takriban wiki moja sasa.

KAULI YA BABA WA TAIFA KUHUSU MADINI

HOT NEWZ.......MHE PROFESA MUHONGO AACHISHWA UWAZIRI

IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ambapo uteuzi wa kujaza nafasi yake utafanyika baadaye.

Wednesday 24 May 2017

BREAKING NEWZ......WATU 19 WAUAWA KATIKA TUKIO LA KIGAIDI HUKO MANCHESTER UINGEREZA

Watu 19 wameuwawa na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika tukio linashukiwa kuwa ni shambulizi la kigaidi katika ukumbi wa Manchester Arena.Mlipuko huo umetokea usiku wa jana wakati wa tamasha la muziki la mwanamuziki wa pop kutoka Marekani Ariana Grande.
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ametoa pole kwa wafiwa na waliojeruhiwa na tukio hilo ambalo polisi wanalichukulia kama shambulizi la kigaidi

MCHEZA FILAMU JAMES BOND AFARIKI DUNIA

BASATA LALAANI KITENDO CHA PICHA ZISIZO NA MAADILI ZA BEN POL

Jamii za Tanzania inabidi ifike mahali iachane na mambo ya kuiga,hasa tabia yisiyoendana na maadili ya Mtazania. Pengine wanaiga bila kujua, ila wengi wanajua wanachofanya na wakati mwingine wanafanya makusudi kwa kisingizio cha ukuaji wa Sayansi, teknolojia na Demokrasia
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania, BASATA, Godfrey Mngereza amelaani picha za nusu za utupu za msanii wa muziki, Ben Pol ambazo imezua tafrani kubwa kwenye mitandao ya kijamii

Monday 22 May 2017

MKATABA UJENYI WA BOMBA LA MAFUTA HOIMA UGANDA HADI TANGA TANZANIA WASAINIWA

Marais waheshimiwa Yoweri Museveni wa Uganda na John Magufuli wa Tanzania wakisiani Mkataba huo
Maraisi hao wakipeana mkono wa pongeyi na shukrani kwa ushirikiano huo baada za kusaini mkataba
Kikao cha majadiliano za mwisho kabla ya mkataba kusainiwa

Sunday 21 May 2017

HAPA NDIO MWISHO WA RELI KIGOMA

MHE RAIS YOWERI MUSEVENI AWA MWENYEKITI MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI EAC

Rais John Magufuli jana (Jumamosi) amemkabidhi rasmi uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa Rais Yoweri Museveni.Muda mfupi kabla ya kumkabidhi nafasi hiyo, Rais Magufuli ambaye alikuwa mwenyekiti wa EAC

Friday 19 May 2017

SERENGETI BOZS U17 WAYIDI KUCHANJA MBUGA

Timu ya Taifa ya Vijana ya Serengeti Boys ambayo ipo Gabon sasa hivi inakogombea Ubingwa wa Afrika kwa Umri wa Miaka 17 na inaongoza kwenye kundi lake kwa Magoli 2 na Point 3, baada ya jana kuishinda Angola kwa Magoli 2-1.
Wafanyakazi wote wa DStv wavaa sare za Serengeti boys kama njia mojawapo ya kuwaunga mkono katika ushiriki wao katika michuano inayoendelea ya kombe la Afrika kwa wachezaji wa umri wa chini ya miaka 17 nchini Gabon.

Wednesday 17 May 2017

KIWANDA KIPYA CHA SARUJI (CEMENT) KUJENGWA TANGA

Mkuu wa mkoa wa Tanga mhe Martine Shigela akitazama picha za mfano wa Kiwanda cha saruji kitakachojengwa huko Tanga kuanzia mweyi ujao. Mkuu huhuyo yupo safarini China

Tuesday 16 May 2017

MJUE RUBANI WA KWANZA MWANAMKE TANZANIA

Gayeti la Daily News la February 12, 1985 linaripoti, kuwa Mwanamama Elizabeth Olotu anaandika historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza kurusha ndege. Amerusha kutoka Dar kwenda Mafia na kurudi. Bakari Mwapachu, Mkurugenzi Mkuu wa ATC aliyekuwa abiria kwenye ndege hiyo aina ya Twin Otter alikuwa na haya ya kusema;

" Betty ametua ardhini kwa namna bora ambayo sijapata kuishuhudia kabla!" ( Kutoka maktaba ya Kwanza Jamii na Mjengwablog)

Je, hali ikoje leo?
Mbali ya mwenzetu Cecylia Gellejah tuna marubani wangapi wanawake?

Yuko wapi Elizabeth Olotu?

USAFIRI ULIO HATARI KIUSALAMA

Siku ya hivi karibuni kumekuwa kukitokea ajali nyingi zinazochukua maisha ya watu na kuwaacha wengine majeruhi au vilema wa muda mrefu. Pengine yinatokea bahati mbaya ila nyingi yinasababishwa na uyembe na kutotii sheria ya usafirishaji na barabarani. Picha hii ni mfano mmojawapo

MKUU WA MKOA KNJARO NA MAJAJI WAWILI WAACHIA MADARAKA

Sunday 14 May 2017

WATOTO WALONUSURIKA KATIKA AJALI ARUSHA KWENDA MAREKANI KWA MATIBABU ZAIDI

Mbunge wa Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu amesema Ubalozi wa Marekani umetoa hati ya kusafiria (visa) kwa ajili ya kuwawezesha wanafunzi watatu wa Shule ya Lucky Vincent kupata matibabu nchini Marekani.Katika ukurasa wake wa Facebook leo Nyalandu amesema waliopata Visa ni wazazi,watoto na wataalamu wawili wa afya ambao watasafiri kwenda Marekani.

SIKU YA MAMA DUNIANI