Monday 25 January 2016

KIKWETU KWETU

Raha yake ule kwa mkono huku umeketi chini sakafuni
Ulinzi shirikishi. Hapana chezea kitu cha Wali/Pilau

2 comments:

  1. DUH! hiyo kali, ila huyo mbwa kuna hatari ya kuungua moto hapo:-) Na hiyo kula chakula kwenye sufuria na hungu nimeipenda kwani unaokoa kuosha vyombo ..halafu nimekitamani chakula hicho....

    ReplyDelete

Maoni yako