Monday 11 January 2016

MHE.RAIS MAGUULI AMJULIA HALI MHE.SUMAYE


Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye na Mama Esther Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Jumatatu Januari 11, 2016

No comments:

Post a Comment

Maoni yako