Wednesday, 13 January 2016

MHE.RAIS MAGUFULI JANA APANDA NDEGE KWA MARA YA KWANZA KAMA RAIS

Wakati, Rais John Magufuli, akifikisha siku ya 70 ofisini leo tangu kuapishwa kwake Novemba tano mwaka jana,imebainika kuwa mpaka sasa amepanda ndege mara moja tu na kutoka nje ya jiji la Dar es Salaam mara mbili tu.
Taarifa hizo ambazo zilithibitishwa na mmoja wa wasaidizi wa Rais Magufuli, zinaeleza kwamba, jana ndiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kupanda ndege tangu aingie madarakani

No comments:

Post a Comment

Maoni yako