Saturday, 9 January 2016

KATUNI YA LEO YENYE UJUMBE

Ni wikiendi, ni wakati wa kupumzika na kupata burudani. Mbwana Samatta ametupa wikiendi murua Watanzania. Ametuletea heshima kubwa. Msanii hapa anaweka pia angalizo, kuwa kwenye furaha na burudani hii aliyotuletea Samatta, kuna wenye matarajio mengine kutoka kwake...

No comments:

Post a Comment

Maoni yako