Friday, 15 January 2016

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI YAMETOKA
Kuona matokeo bonyeza link hii: http://www.necta.go.tz/matokeo/ftna2015/html/index.htm
Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu

No comments:

Post a Comment

Maoni yako