Friday, 15 January 2016

MHE LOWASSA AIBUKA

Magazeti ya leo yamepamba habari za Lowassa.
Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara wa Team Mabadiliko kutoka soko kuu la Kariakoo, Jijini Dar es salaam waliomtembelea Ofisini kwake jana Januari 14, 2016.

Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Hosptitali ya Taifa Muhimbili alikolazwa. Lowassa ambaye alifika hospitalini hapo jana saa 7:00 mchana akiwa na mke wake Regina, aliwapongeza viongozi wengine ambao wamekwisha kufika hospitalini hapo

No comments:

Post a Comment

Maoni yako