Friday 13 June 2014

WAZIRI WA FEDHA NA BAJETI 2014/15

Mhe Waziri wa Fedha Saada Mkuya alipokuwa akiwasili viwanja vya Bunge Dodoma kiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Fedha hapo jana.

Kila aliyenacho inabidi akikumbatie vizuri maana hali ni mbaya.
Hali ya ajira inazidi kuwa ngumu. Mfano Uhamiaji wametangaza kuhitajui wafanyakazi 70 lini walioitwa kwenye usahili ni 20,000. Hapo chini si watamaji mpira bali watu walioitwa kwenye usaili Uhamiaji.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako