Saturday 14 June 2014

COSTA RICA WAWABANA URUGUAY

Mechi kati ya Costarica na Uruguay ndo imemalizika kwa Costarica kushinda 3 dhidi ya 1 la Uruguay. Kweli mpira dakika 90
Mchezaji wa Costa rica - Campbell akishangilia kwa namna yake baada ya kufungua bao


No comments:

Post a Comment

Maoni yako