Saturday 14 June 2014

KWA WALE WAPENZI WA FILAMU ZA KIBONGO.....

Ile Filamu iliyotayarishwa na NISHA ya ZENA na BETINA ipo madukani. Kumbuka filamu hii ni kali na pia yumo Jenipher aliyecheza ma Kanumba katika This is it , Uncle JJ na mingine. Wahi nakala yako.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako