Tuesday 10 June 2014

KUMEKUCHA TUKAWAJIBIKE

Ila kwa mwenzetu huyu pamoja na kwamba yupo njiani katika kuwajibika, bado kalala tena isivyo salama kabisa. Hapo inawezekana kabisa akaamkia hospitali. Pamoja na uwajibikaji wetu wa kusaka maisha, pia ni vizuri kuwa makini maana uhai wetu hauna spea.

1 comment:

Maoni yako