Friday 13 June 2014

MATOKEO MECHI ZA FIFA LEO

Timu ya kwanza kutoka Afrika kucheza msimu huu Kombe la Dunia Cameroon wamechapwa na Mexico 1 - 0

Hapa ilikuwa hekaheka golini katika mechi hiyo ambapo kipindi kirefu walicheza huku mvua ikiwa inanyesha

Nao mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia Timu ya Hispania imeshindwa vibaya kwa kuchapwa 5 - 1 na wapinzani wao Timu ya Uholanzi
TAZAMA MAGOLI YALIVYOTINGA WAVUNI


No comments:

Post a Comment

Maoni yako