Tuesday 10 June 2014

VIPAJI TUNAVYO, TUVITUMIE TU VIZURI

Kijana huyu Elvis Munisi (Leollo) ameendesha baiskeli kutoka Chile kupitia nchi 47 hadi Kilimanjaro Tanzania zaidi ya kilomita 28,000 kuhamasisha kuchangia mfuko wa kusomesha wanafunzi kupitia mpango wa CRC unaodhaminiwa na kampuni ta simu za mkononi wa TIGO

No comments:

Post a Comment

Maoni yako