Monday 16 June 2014

UJERUMANI WAIPIGA URENO 4 BILA


Katika mechi iliyomalizika hivi punde, timu ya Taifa ya Ujerumani imeifunga Ureno 4 kwa bila. Katika mchezo huu ambao Chancellor Angel Merkel wa Ujerumani alikuwepo uwanjani hapo akitazama, ilikuwa ya mvuto wake kwa namna ambayo timu ya Ureno yenye wachezaji wazuri kama Ronaldo haikuweza kufurukuta.
KAMA HUKUITAZAMA, ONA HAPA MAGOLI YALIVYOFUNGWA



No comments:

Post a Comment

Maoni yako