Saturday 14 June 2014

NAKUMATT YAJA KWA KISHINDO

Baada ya Kampuni ya Nakumatt kutangaza kuchukua maduka yote ya Shoprite, hivi karibuni ilitangaza kuuza bidhaa zote za Shoprite kwa nusu bei. Basi watu wengi walijitokeza kufanya manunuzi katika duka lililopo Mlimani City.
Hata hivyo baadae ilitokea zogo sana kiasi cha kusitisha zoezi hilo. Matangazo haya yaliwekwa na kufanya umati utokomeee kiupolee hadi Jumatatu tena kwa mauzo ya kawaida

No comments:

Post a Comment

Maoni yako