Monday 13 April 2015

NAWATAKIA WIKI NJEMA

Mwalimu, Albert Juakali wa shule ya msingi Iboma iliyopo kijiji cha Udinde Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya akifundisha wanafunzi wa darasa la kwanza chini ya Mti wa Mbuyu
Japo mazingira ni magumu lakini hawa watapata elimu na baadae kuwa viongozi na raia wema. Someni bila kuchoka.
Kina mama wajasiriamali wakiwa katika biashara kutafuta riziki za familia zao. Poleni kwa kazi ngumu ila mtafanikiwa tu kwa juhudi zenu.
Hata kwa walio maofisini, la muhimu ni kufanya kazi kwa bidii. Maisha bora yanawezekana kila mmoja akitimiza wajibu wake ipasavyo.

Hata kama ni kukosa wateja au uchovu wa kazi,kulala katika sehemu ya biashara au ya kazi si jambo zuri. Amka.....

No comments:

Post a Comment

Maoni yako