Shirika la Reli nchini TRL linafurahi kuwajulia wananchi wote kuwa leo tar 12.April ile treni mpya yenye mabehewa mapya ijulikanayo kama DELUXE itaaondoka Dar kuelekea Mwanza baada ya kuzinduliwa rasmi na Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Mhe. Shaaban Mwinjaka. Hii ni ya pili baada ya ile iendayo Kigoma kuzinduliwa na kufanya safari yake.
Treni hii mpya inachukua nafasi ya zile za zamani kama hii hapa chini
HALI YA USALAMA JIONI HII NOVEMBA 10, 2025
46 minutes ago

.jpg)
No comments:
Post a Comment
Maoni yako