Thursday 2 April 2015

MWALIMU NYERERE AENZIWA HUKO MOSHI-KILIMANJARO

Viongozi wa CCM Taifa wamekuwa Mkoani Kilimanjaro kwa siku 9 kuhagua shughuli na uhai wa chama hicho. Walipokuwa Mjini Moshi walikutana na Gari alilotumia Mwalimu Nyerere katika kipindi cha uhai wake katika harakati za kutafuta Uhuru.Gari hilo ambalo ni mojawapo ya matoleo ya zamani sana limekarabatiwa na VETA Mjini Moshi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijaribu kuendesha gari alilotumia Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa harakati za kutafuta uhuru,kulia ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Hapa akishuka katika gari hilo
(Picha kwa hisani ya Full Shangwe blog)

No comments:

Post a Comment

Maoni yako