Kutokana na tafiti mbalimbali zilizofanywa hapa nchini na baadhi ya taasisi za utafiti, Mh. Edward Lowassa amekuwa akitajwa kama mwanasiasa anayeongoza kwa kukubalika zaidi kwa mujibu wa hizo tafiti zao.
Je, kwa mtazamo wako wewe, kweli anafaa kuwa Rais?
UKONGA SKILLFUL IMEBEBA SIRI ZA MAFANIKIO YA WENGI
37 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako