Mbunge wa Hai,Mhe.Freeman Mbowe ametoa msaada wa magari mawili ya kubebea wagonjwa (AMBULANCE) kwa Hospitali za Hai na Machame katika Jimbo lake la Uchaguzi
Taswira ya magari hayo ndani na nje
Mhe. Mbowe akiongea machache kwa wananchi wa Hai kuhusu msaada huo
Wanawake Kupata Hati Miliki Kupitia Samia Ardhi Kliniki
34 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako