Sunday 5 April 2015

NAWATAKIA SIKUKU NJEMA YA PASAKA

Waumini wa madhehebu ya Kikristo wanaungana leo duniani kote kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka. Blog hii inawatakia nyote sherehe njema na baraka za Kristu Mfufuka.

3 comments:

Maoni yako