Tuesday 7 April 2015

GARISSA ATTACK-FROM A LAWYER TO A TERRORIST

Hii ndo taswira ya mmoja wa magaidi wa Al Shabaab waliofanya mauaji ya wanafunzi 147 huko Garissa Kenya. Alikuwa ni Mwanasheria mwenye kipaji cha hali ya juu lakini punde kabadilika na kuwa gaidi.
Wakati huo huo, inasemekana Ndege za kijeshi za Kenya zimeshambulia maeneo ya wapiganaji wa kundi la Alshabaab katika taifa jirani la Somalia ,msemaji wa jeshi ameiambia BBC.
Ndege hizo zililenga maeneo mawili ya jimbo la Gedo,linalotumiwa na wapiganaji hao kuvuka na kuingia Kenya, msemaji huyo ameongeza.
Maeneo hayo mawili hutumiwa na wapiganaji hao kupanga mshambulizi nchini Kenya

No comments:

Post a Comment

Maoni yako