Ukiangalia kwa haraka haraka huyu jamaa na hii Tshirt yake ya mwaka 2015, unaweza hisi katokea mkoa gani hapa Tanzania????
Huyu nae katoa mpya. Nivea imekuwa Yoghurt.... Jamani ASAS LTD jitahidini kusambaza huduma zenu zaidi na kwa haraka maana watu wengine huku watakula visivyoliwa sasa
Jamani adhabu hizi kwa wanafunzi tangu lini tena????
WANAKWAYA SITA WAFARIKI DUNIA WAKIENDA KUINJILISHA INJILI..
43 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako