Sunday 1 March 2015

JUMAPILI YATANDA GIZA KUFUATIA KIFO CHA KEPTENI KOMBA

Mhe Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa Chama na Serikali na wananchi wengine wamekuwa wakimiminika nyumbani kwa Hayati Komba huko Mbezi Tangi Bovu Dar ili kutoa pole kwa wafiwa. Hakika wanaCCM na wanaTOT kwa namna ya pekee wamepoteza moja ya nguzo zao muhimu. Maombolezo bado yananendelea na kesho Mwili wa Hayati Komba utasafirishwa kwenda Ruvuma kwa mazishi.
Mhe.Rais Kikwete akitia sahihi kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Marehemu Komba
Mhe.Rais Kikwete akimfariji mke wa Marehemu ndg.Salome Komba

No comments:

Post a Comment

Maoni yako