Thursday 19 March 2015

ITAMBUE SURA YA IKULU YA TANZANIA

Hili ndilo Jengo la Ikulu ya Tanzania ambapo mambo yote yahusuyo nchi kupitia kwa Raisi wa nchi huanzia hapa, na pia ndiyo Makazi maalum ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dar.

2 comments:

  1. Kutoka hapa nchi inaongozwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante sana Ray kwa mchango wako na kuwa mdau wa kweli wa Karibu Nyumbani.

      Delete

Maoni yako