Friday 6 March 2015

UKATILI DHIDI YA NDUGU ZETU ALBINO:MAKALI YA SHERIA

Na hawa wanne hapa chini wamehukumiwa kifo kufuatia kumuua Zawadi Magimbu (32) mlemavu wa ngozi huko Geita.
Kutoka kushoto ni Nasoro Charles, Singu Siantemi, Masaru Kahindi na Ndahanya Lumola. Picha na Jackline Masinde.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako